Naomba ushauri
Kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hivi yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu. Yeye anataka kutoa, nikiomba ushauri watu wananiambia nimuache nacho,
Nimeona nilete kwenu great thinker nipate mawazo yenu nikamtoe, nisipomtoa atapata madhara gani na nikimtoa atapata madhara gani?