Nimeweka vipaombele vyangu lazima vinitoe

msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,627
1,880
Mwaka huu kwenye diary yangu nimeweka vipaumbele kadhaa, ambavyo lazima vinitoe piga ua garagaza, bandani nimeweka kuku 150 wa kienyeji kila siku naokota tray 3, kila tray ni 15, so nina uhakika wa 45,000 kila siku na sina stress kozi asubuhi saa 11 naamka naweka vyakula na maji then 12:30 nasepa na tray zangu tatu kazini, then nimefungua duka la kukodisha CD minimum kila siku nakodisha cd 10, kila CD 1000, then nimechimba kisima nimepeleka maji kama mita 100 kutoka nyumbani nategemea kuuza sio chini ya 10,000 tu per day,hapo nataka nipige na tofali kisela kwakuwa inaendana na biashara ya maji.

LAZMA NITOKE LAZMA NITOKE YAANI WEEKEND KWANGU NAIONA FUPI KWAKUWA NDIO WAKATI AMBAPO NAKUWA BUSY ILE MBAYA
 
mwaka huu kwenye diary yangu nimeweka vipaumbele kadhaa,ambavyo lazma vinitoe piga ua garagaza, bandani nimeweka kuku 150 wa kienyeji kila siku naokota tray 3, kila tray ni 15, so nina uhakika wa 45,000 kila siku na sina stress kozi asubuhi saa 11 naamka naweka vyakula na maji then 12:30 nasepa na tray zangu tatu kazini, then nimefungua duka la kukodisha cd minimum kila siku nakodisha cd 10, kila cd 1000, then nimechimba kisima nimepeleka maji kama mita 100 kutoka nyumbani nategemea kuuza sio chini ya 10,000 tu per day,hapo nataka nipige na tofali kisela kwakuwa inaendana na biashara ya maji. LAZMA NITOKE LAZMA NITOKE YAANI WEEKEND KWANGU NAIONA FUPI KWAKUWA NDIO WAKATI AMBAPO NAKUWA BUSY ILE MBAYA
Pambana mkuu pambana , uko mbioni kutoka
 
Hongera sana mkuu, akili ya aina hii inatakiwa isambae kwa wingi kwa vijana wenzetu. Kuambukizana mambo ya Maendeleo ni jambo jema.

Mungu abariki mipango ndugu.
 
Mipango simple lakini mizuri kweli yani.
Uko vizuri mkuu,asante kwa kutupa changamoto wengine.
 
mwaka huu kwenye diary yangu nimeweka vipaumbele kadhaa,ambavyo lazma vinitoe piga ua garagaza, bandani nimeweka kuku 150 wa kienyeji kila siku naokota tray 3, kila tray ni 15, so nina uhakika wa 45,000 kila siku na sina stress kozi asubuhi saa 11 naamka naweka vyakula na maji then 12:30 nasepa na tray zangu tatu kazini, then nimefungua duka la kukodisha cd minimum kila siku nakodisha cd 10, kila cd 1000, then nimechimba kisima nimepeleka maji kama mita 100 kutoka nyumbani nategemea kuuza sio chini ya 10,000 tu per day,hapo nataka nipige na tofali kisela kwakuwa inaendana na biashara ya maji. LAZMA NITOKE LAZMA NITOKE YAANI WEEKEND KWANGU NAIONA FUPI KWAKUWA NDIO WAKATI AMBAPO NAKUWA BUSY ILE MBAYA
Jitaidi kuwa mbali na chura malengo yatatimia maana Kuna wengine wananesa utafikiri Kuna spring!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom