La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 486
- 784
Naona unacheza na maisha yako ingekuwa mim ndio wife nikagundua umefanya kitendo hatarishi kama hiki tena unajisifu kabisa alaaaaaaa
Ningekusubiria ufike home nakupokea na mijeledi ya hali ya juu maana huwez kucheza na maisha Wakati kuna familia inakuhitaji

Ningekusubiria ufike home nakupokea na mijeledi ya hali ya juu maana huwez kucheza na maisha Wakati kuna familia inakuhitaji