Nimewaza hiliπŸ€”

Mungu akutangulie mkuu kwenye utoaji wako
 
Wanakosea sana wanapo kua sio waaminifu na wanaharibia wenye uhitaji wa kweli wanapo kosa uadilifu.
Yaani unakuta hautambui nani mkweli na yupi muongo.
mkuu binadamu wote hatuwezi kuwa sawa hata siku moja,na ili cycle ya maisha ikamilike lazima wawepo watu wa aina na tabia tofauti tofauti
 
Niwatoe hofu, ulevi wangu usiwape hofu kwani humu sio mara ya kwanza kusaidia watu
Kwa uzoefu wangu mpaka Sasa kwenye hii Dunia, Walevi ni miongoni mwa watu wenye moyo wa kusaidia,
Ule msaada wa ukweli ukweli
 
Mkuu:

Mimi naomba kama una connection ya mtu wa NSSF, kuna chenji zangu ziko humo ni mwaka sasa nimeachana na ajira. Mwajiri anazingua kunipa ushiriano maana mm ndio nilivunja mkataba.

Natakaman hata ningepata kampuni ya ulinzi au HR wa shelii niwape pesa za michango ya miezi 3 wanipelekee afu wanipe certicate of service nikadai chenji zangu nifungue hata genge.

Msaada wenu wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…