Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,817
- 12,286
Hivi eehh? 😹Mnapenda sana masihara, mashekhe wanasema maskhara.
Nisaidie tu mie dear jamani.Kusaidia tena mtu humu si subutu.
Kama nini nikusaidie mpendwaNisaidie tu mie dear jamani.
Siku nikihitaji msaada ntakucheki dear.Kama nini nikusaidie mpendwa
Nimechindwa kuja pm kwako kila nikijaribu ina goma.Siku nikihitaji msaada ntakucheki dear.
NAUNGA MKONO.....TUTAPEANA UTARATIBU WA KUCHANGIA.....Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔
Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa kusaidia watu humu kwa namna ya kuwapa michongo na connection mbalimbali , mda mwingine nafanya kutoa sadaka kuwapa mitaji madogo, japo ni kidogo kwa wale waliobahatika wanajua.
Sisi sote humu ni ndugu kwa walio na moyo wa utoaji na kusaidia tusiache kusapotiana hata kwa kidogo tu.
Kiranga nzalendo The Icebreaker Bufa
Wewe umeinitiate sisi tutasupportHii nimetaja kwa kila mtu , kila la heri, mnanitwikwa zigo Peke yangu sasa😁
Bado mamnyong'odeMin hajatoa mtaji?
Tumpe mudaBado mamnyong'ode
Mtaji wa shingapiWakuu mimi ni mhasibu na mtawala mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 5 mtu mwenye connection ya hizo kazi anistue maana mtaani pagumu. Au anipe mtaji nifungue hata biashara