Ushauri wa bure ukitaka kutumia muda wa maongezi kwa raha kabisa bila wizi tumia TTCL kifurushi cha mwezi 4500 muda wa maongezi tu mitandao yote,
Japo unapewa na mb 500 lakini zingatia muda wa maongezi
Kuhusu bando la internet ukitaka kutumia Internet kwa raha zako na furaha zako youtube, fb , whatsapp na istragram
Tumia mtandao wa voda bando la wiki sh 10, 000 GB 12
Starehe Gharama.