Nimewavulia kofia 'HALOTEL'

Mimi niliamua kuwakaushia ,siku weka vocha kwa takribani kama mwaka mmoja hivi - sasa wamei deactivate ,ipo kwenye simu muda wote lkn siwez ifanyia kazi.
 
Mkuu nenda kawashitaki nakumbuka tigo nao walikuwa wameniunga kwenye huduma ya kukopeshwa pasipo kuomba mkopo,mwisho wa picha nilienda makao makuu pale makumbusho nikawasha mziki
Mwisho walinitoa kwenye hiyo huduma
 

Pole sana mkuu. Mchumba wako huwa unaongea nae every day?
 
Nilishaachana nao kenge wale we nikiweka airtel 1gb na watch 12 videos ila wao 550mb hâta vidéo moja haiishi
 
Voda kila mteja ana nunua vifurushi kivyake kuna wanaonunua cha tshs 350/=kwa siku tatu wengine tshs 750/= kwa siku 1 yaani ni teble
 
Huduma kwa wateja wao hawana,hata mie walivyoniletea uf"*rauni wao nikapiga weee 10 lakini si kupata ya kuongea na muhudumu kwa mteja. Nimelitupa li line lao. Wezi,sana halotel
Mwenyewe nimeteseka mnoo na nimeshangazwa hamna huduma kwa wateja.. huu mtandao ni mbovu zaidi ya ubovu wenyewe.. Kwa ufupi hawa jamaa wanatakiwa wafutiwe hata leseni ya biashara
 
Hawa halotel ni washenzi sana ujanjaujanja wanatufanyia ni mwingi, utakuta umeweka salio la 2000 unataka kifurishi unaambiwa salio halitoshi, ukiangalia salio unakuta 1900, 100 wanakwambia ni quiz
Hiyo naona pia inanitokea kwenye salio langu maana baada ya kuiunga na kifurushi kilibaki kiasi fulani lakini kila siku nikiangalia salio naona ni tofauti na linapungua.. Haloteli ni majambazi majizi
 
Mimi niliamua kuwakaushia ,siku weka vocha kwa takribani kama mwaka mmoja hivi - sasa wamei deactivate ,ipo kwenye simu muda wote lkn siwez ifanyia kazi.
Hiyo ni kuichoma moto tu ndo dawa yao mpaka waache wizi majambazi yale
 
kwahyo wataka kupigana au?
We ndo mke wa Halotel ? Maana unachonga sana huo mdomo.. mi naongea issue ya msingi inaniuma roho kupoteza pesa zangu halafu unakuja kuharishia uzi... jitafakari mkuu unakera sana sometime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…