Nimewashangaa sana Lissu na Heche baada ya kusikiliza mjadala wa Royal Tour kwenye Club House ya Maria Sarungi

Advertisement ni advertisement and you must keep doing in different modalities, fanyeni tafiti mtueleze hayo mafanikio madogo ya RT ni yapi ili tuwe na criteria zaku critisize RT. Ujinga wa Heche ni hii comparison aliyofanya unless he was joking and I keep hammering on him. Natakaka sana vijana tuwa wekee sera za kuwasaidia kwenye sekta nyingi na siyo mafugo peke yake. Kwa heshima ya Club House na alicho ongea Heche ni shame. Aiponde RT kwa DATA ambazo hana asubiri baada ya hiyo miezi mitano
So far hakuna data toka pande zote. Ila waliotakiwa kuja walau na projections hawajafanya hivyo. Advertising haifanywi blindly lazima ina malengo yake. Hatuwezi kupima mafanikio ya RT kama hatujui Inategemea kutusaidia kwa kiasi gani....!!
 
Mbona hawna mjadal na Bei za mafuta au chadema hawan wafanya biashara za mafuta nn
 
Mbona hawna mjadal na Bei za mafuta au chadema hawan wafanya biashara za mafuta nn

Unajuwa hawa jamaa JPM aliwafanyia kitu kibaya sana, they have been out of active politics for six years. Sasa kwa mwana siasa ni ngumu sana kama huendi Bungeni, hufanya mikutano then utakuwa dunderhead mana huna haja yakufanya research ili uilepeke wapi. Hivyo hawana hoja yakujadili kuhusu mafuta
 
Nakushauri fungua uzi wa kupanda kwa mafuta ndani ya EAC then utapata elimu kubwa zaidi na siyo kijana mzima kupanda kwa mafuta moja kwa moja unaenda kumlaumu Rais.

Mkuu wala sijataka maelezo yote na wala sijamlaumu Rais,,, ni nimeshangaa tu comparison aliyoifanya alitumia vigezo vipi....

Ni hilo tu wala sihitaji kutoa ushauri wowote.. kwasababu Kukazana kumuamsha aliyejifanya amelala ni kupoteza wakati.
 
Back
Top Bottom