Nimewapiga wote na kesho shaurini

Ukifikia na ofisi ya kata pia piga makofi wote alaaah

hahaha hata mimi nilitaka ni mshauri hivyo hivyo akifika kwenye ofisi ya kata apige wote makofi wajumbe, mwenyekiti wote. Raisi anasema hapa kazi tu nyie mnanitoa kazini mnaniita hapa, makofi tenaa
 
Mh.mbona naskia harufu mbaya tofauti na maji.waulize waliishawahi kukwaruzana wapi?
 
Simple tu. Kama kuna kuua bila kukusudia basi kuna " kupiga makofi bila kukusudia!!"
 
Umetumia busara sana! Tena ukifika huko komaa ujue chanzo cha ugomvi, otherwise wataendelea kukuchezea

Chanzo hawatamwambia kwa sababu wanagombea mchi si maji. Kuna mahali waliporana mchi hao sasa wanaogopa kusemana
 
Umetumia busara sana! Tena ukifika huko komaa ujue chanzo cha ugomvi, otherwise wataendelea kukuchezea

Fanya hima mtokee kesho kesi itaisha. vinginevyo ugomvi hautaishia hapo katani.
 
Kuna jambo zito nyuma yao we nenda eleza ukweli ili nawe upate kuwahoji sbb ya wao kutoelewana
 
Mi nikajua umewatafuna....hahaha.! Adhabu za kata huko siku hzi unaenda kuzibua mitaro ya maji taka. Jiandae.
 
Na huenda wakawa wanagombania mchepuka mtaani huko. Akili hawana hawa.
Umetumia busara sana! Tena ukifika huko komaa ujue chanzo cha ugomvi, otherwise wataendelea kukuchezea
 
Nia yako ni njema usiogope nenda tu utaeleweka
 
Ni kweli hapigwi makofi bali hupigwa fimbo lainii, anapozisha mdomo kuoigwa muhim
 
Mbona issue ndogo tu hiyo? Sema ulilazimika kutumia reasonable force ili kuwatenganisha kwenye ugomvi wao ambao ulikuwa unawadhalilisha nyote.
 
Ukifikia na ofisi ya kata pia piga makofi wote alaaah

Acha hizo ubavu anao oooohi!Watu wana mengi kwenye nyumba zao lakini?? huyu nae ilitakiwa baada ya kuona hivo ilipaswa abadili nguo aende baa akirudi ni kulala!Aaaagh!.
 

Kama wote, safi kabisa.. Tena uko kata wahi asubuhi sana maana wamekaidi kutulia
 
Jamani huo muda majirani wanabondana na we ndo umetoka job baa zilikuwa zimefungwa au?????????????????????????
 
Ukifika pale jitetee huku ukiwalaumu ccm miaka yote hii tangu uhuru maji hakuna

hii ni aibu kubwa sana sio kugombea maji ya mvua ila kukosekana kwa maji ya bomba

huu ushaur sio wa kuubeza
 
Babu jinga analiwa, babu jinga analiwa.

Fikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…