Kama una nguvu sana uwe unapigana na wanaume wenzio, au hata piga ngumi ukutani hasira ziishe, mwanamke hapigwi
Kama umesoma vizuri andiko langu ni kwamba nilitumia nguvu sana kuwaachanisha lkn hawakunielewa solution niliona ni hiyo tu ya kuwa refresh maana niliona akili zao zimefreez kwa hasiraKama una nguvu sana uwe unapigana na wanaume wenzio, au hata piga ngumi ukutani hasira ziishe, mwanamke hapigwi
Kama umesoma vizuri andiko langu ni kwamba nilitumia nguvu sana kuwaachanisha lkn hawakunielewa solution niliona ni hiyo tu ya kuwa refresh maana niliona akili zao zimefreez kwa hasira
Ukifikia na ofisi ya kata pia piga makofi wote alaaah
Wee nenda ila eleza ukweli tu na ni katika hali ya kuamulia ugomvi ikanibidi niwachape kidogo waachane LA sivyo wamgeuana. Kwa sababu namtoa A, B analetavurugu, unamtoa B, A anaendeleza vagi, kwa hiyo nikatumia nguvu kidogo kuamua. Wataadhibiwa wao