Nimewamiss jamani humu ndani

Nimewamiss jamani humu ndani

masai gel

Senior Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
125
Reaction score
42
Nina muda kidogo sijaingia humu nimewamiss washkaji jamani,Nawapenda na Natafuta Mwenza bado...
 
kuna mdau MMU alikuwa anatamani sana kuoa binti wa kimasai.. sijui aliishia wapi?
 
Yap masai girl nenda kule love connect, kuna kijana wa kisukuma anataka "takwenya"
karibu tena cc masai girl na uspotee tena.
 
kijana... kwa hiyo ukaona uniquote mimi... si ndio?

naona unatamani kula nyasi eenh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom