we miss u toooo!well come again Mphamvu!
Nina muda kidogo sijaingia jukwaa dume hili, majukumu na kukosa muda, muniwie radhi wanachama waandamizi.
Nimekua kidogo, hata muziki ninaoupenda umebadilika na leo nimewaletea kibao maridhawa cha Ochestra Zaiko Langa Langa, furahia.
NB; Kwa wasionifahamu, mimi naitwa Mphamvu Letsholonyane, Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi.
Nakukaribisha kwenye himaya yangu....nitafutie kichuna...
wewe Rich woman huna mume wewe? au unataka mtoto wa wenzio ajikute mabwepande?????Nakukaribisha kwenye himaya yangu....
wewe Rich woman huna mume wewe? au unataka mtoto wa wenzio ajikute mabwepande?????Nakukaribisha kwenye himaya yangu....
Niliachwa mimi kwenye mataa naona wewe pekee ndo huna hizo taarifa au labda umesahau.... Na tayari ndugu yako kashavuta jiko jipyawewe Rich woman huna mume wewe? au unataka mtoto wa wenzio ajikute mabwepande?????
Ndo narushwa roho au?