Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
Hunshindi mimi. Yaani ni wakwamisha maendeleo! Sijui hata memba wake hawajui kuwa wanaofaidika ni hao viongozi tu. Wanataka kuzunguka nchi nzima kutafuta posho. By the way hivi Ile kesi ya Mwandishi Mwangosi wanachama wanagpi wa CHADEMA walienda kusikiliza hatama?!?!?! Hivi wananchi hawajifunzi tu! Wanatumiwa kwa faida ya wachache nao wanakubali!Mara bunge live, mara UKUTA kelele tupu hawana jipya, bungeni wamepelekwa tu michepuko, watuache watanzania na Magufuli wetu. Mh. Lowassa bora ujiuzulu siasa mbona unajichosha na kujishushia heshima yako mzee wewe na Sumaye? Mlishawai kuwa hadi mawaziri wakuu mlisahau nini kwenye serikali wakati UKUTA hamjui? Mnataka UKUTA gani tena? Mtuache mtuache watanzania na nchi yetu kwanza tunawadai sana sitaki kusema mengi
Hahahaha ama kweli dj. Ndiyo maana wasumbufu wamezoea makelele ya disco na mavurugu. .ustaarabu..hekima na busara ni zero kabisa!Usipate shida, hakuna mwananchi atakayekubali kufanya huo upuuzi wa kushikishwa UKUTA.
Ni FUTUHIIII za Dj Slay F tu