Nimewachoka BBC kwa propaganda dhidi ya North Korea

Uingereza ni mama wa US hawezi kumuacha mwanae kwa namna yoyote liwe jua iwe mvua
 
Yaani kuna vitu lazima ujiulize kwa Akili ya kawaida tu

Watoa taarifa husema ni ngumu kupata taarifa kamili za NK ,lakini wao huleta taarifa hasi tu ,

Pia , cha kushangaza NK kwamba ni maskini lakini wanatengeneza Nukes, hydrogen bombs, simu ,magari n.k eti hawa ni masikini

Hizi propaganda za miaka ya 1970s sasa hivi hazifanyi kazi
 
nakubaliana na ww mkuu
 
Hawa walimpiga vijembe Hayati Gaddafi vibaya mno.
Ni station ya mabeberu hiyo, huitumia kuumiza yoyote asie kubaliana na mabeberu.
Pia kuna VOA, (voice of America)
hao VOA ndio siwaangalii kabisa maana mmmmmh
 
Back
Top Bottom