Nimewaandikia AMNEST INTERNATIONAL, INTERPOL na WTO kuhusu Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimewaandikia AMNEST INTERNATIONAL, INTERPOL na WTO kuhusu Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Jan 9, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Inabidi AMNEST INTERNATIONAL NA WORLD TOURISM ORGANISATION WAJUE HALI HALISI YA YALIYOTOKEA ARUSHA.

  NANI MWENYE KOSA, NANI CHANZO CHA VURUGU, KWA NINI POLISI WANAUWA WATU WASIO NA HATIA?

  Mabomu ya machozi yalikuwa yanavurumushwa tu ovyo ovyo, bila hata utaratibu. Yaani watu wakionekana tu yanapigwa,bila kujali watoto au wajawazito. Hapa UNICEF wanahusika na waje kufanya uchunguzi.

  Kulikuwa na watu tu wanatembea na shughuli zao wanapigwa mabomu.

  Nani alitoa amri risasi za moto zitumike, hawa polisi hawajui risasi za Plastic????

  Hapa ni Lazima IGP ajiuzulu na akahojiwe na OCAMPO, na kama aliagizwa na Raisi sawa, tujue tunae Raisi GAIDI.

  Hapa World Tourism Organisation (WTO), Tanzania ni mwanachama. Katika mkataba huo, inaamriwa kuwa watalii watalindwa. Sasa Watalii walipigwa mabomu ya Machozi. ushahidi upo.

  Serikali lazima itoe maelezo kwa WTO

  Haya mashirika ya kimataifa lazima yatoe kauli ya kuilaaani serikali dhalimu, serikali ya kifisadi, CCM

  Nawasilisha, asante.
   
 2. UWEZO_WAKO

  UWEZO_WAKO Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi kinachonishangaza ni pale polisi wanafikiri wao wanapaswa kutoa kibali cha maandamano, na wakati wao wanapaswa kupewa taarifa tu. Na walishapewa taarifa vizuri tena mapema wakawa na muda wa kutosha. Katiba haiwapi nafasi ya wao kuwa watoa ruhusa, lakini hata kama wao wangekuwa watoa ruhusa, na maandamano yamekuwepo bila kibali bado hawapaswi kutumia nguvu hiyo iliyotumika dhidi ya watu wasiokuwa na siraha.....mpaka kuua, hapana hili halikubaliki hata kidogo, kamwe sikubali.
   
 3. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hakuna kipindi ambacho nimemchukia JK, na utawala wake kama siku ya wale watu waliouawa ARUSHA ,kutokana na ujinga wa jeshi la polisi na ubabe wa IGP na viongozi wengine wa kisiasa.
   
 4. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Feedback ni muhimu!
   
 5. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umefanya vema. LAZIMA JK NA CCM WAWAJIBIKE KWA HILI. MWEMA NA MTOTO WAKE ANDENGENYE + BABA YAO VUAI WAACHIE NGAZI!!! SI KWA NGUVU NI UWAJIBIKAJI WA PAMOJA-KUPOTEZA ROHO ZA WATU WASIO NA HATIA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!VINGINEVYO TUANDAMANE NCHI NZIMA!
   
 6. K

  Kalila JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naunga mkono hoja
   
 7. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Waeleze wananchi wa arusha,,,lazima tuwe na utaratibu wa kuwaheshimu na kujiamini wenyewe
   
 8. T

  The Future. Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana la muhim mshikamano wetu na kufuatilia kwa kina.
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Aloo ,nyinyi mnafikiri hao mnaowaandikia wanashughulika ??? Zanzibar tulishaandika sana sana na kufanya maandamano kwenye nchi zawatu ambazo zinaheshimu demokrasia na kuwasilisha mambo mengi sana,kwenye hayo maandamano vikiwemo mabango na vielelezo live.Kwa upande flani vilisaidia kuujulisha ulimwengu.

  Lakini kwenye hizo jumuia jawabu ambazo tulipenyezewa pembeni ni kuwa ,inapokuwa hakuna vurugu zenye kuendelea kama mapigano ya ndani baina ya serikali na upinzani ,vyombo hivyo huwa haviingilii ,vitapokea na kusikiliza kila kitu lakini havitoi kauli yeyote ile.Kwa ufupi vitakaa kimya.Hata ikiwa watauliwa watu kama ilivyotokea Arusha,Zanzibar bado stage ya kuingilia kati huwa haijafikiwa,kufikiwa kwa stage ni kuendelea kwa vurugu zenye kuonyesha mvutano wa kweli baina ya pande mbili,Serikali na upinzani ,uamsho wa kweli wa wananchi ,kama kuendeleaa kwa maandamano ya nguvu sana ambayo serikali haiwezi kuyazima kwa mamneno au kutumia polisi kwa siku moja na kuzima kila kitu.

  Natumai nimeeleweka ,ili kusikilizwa na vyombo hivyo ni lazima uwepo mwendelezo unaojumuisha takriban nchi nzima ambao utatishia maisha ya watu(raia na askari) na uharibifu wa infrastructures na majengo na kuharibiwa kwa mali ,yaani ni machafuko yasionekana mwisho wake,hapo vyombo hivyo ndipo vinapowezaa kuingilia kati kiinternational,lakini kwa fulo la masaa machache na kuzimika ,hapo huwa wanakaa kimya wala hawashituki..natumai nimeeleweka.
   
 10. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145

  sasa Mzee hujatuambia kama umewaandikia, na umewaambia nn? hebu mwaga hapa! Asante kwa kazi nzuri mno
   
Loading...