Nimevunja uchumba wa watu

mkuu kuna kitu unakitafuta, kama mzazi wa bint amelia, bint amelia kinachofata ni wewe kulia.... huo ni mtego na ogopa sana kuingilia maisha ya watu... ukitegwa kidogo tu unategeka kuwa makini.
 
Je unataka kumuoa, mchumba wa mwenzio?
 
Nafikiri ananijua. Maana nimekuwa karibu sana na binti
Duh, kwani huyo jamaa aliwahi kukupa onyo? Maana umesema alikuuliza kama bado huja achana na manzi ake
 
sasa ukienda unaenda kubadili nini? Kilio cha mzazi ni kwamba HANA pesa ya kurudisha kwa mkwe mtarajiwa. Maadam ushajinasibu kuwa pesa unazo waulize tu ni sh ngapi walilipwa, umalize
 
Daaah asante kwa kuniweka makini
mkuu kuna kitu unakitafuta, kama mzazi wa bint amelia, bint amelia kinachofata ni wewe kulia.... huo ni mtego na ogopa sana kuingilia maisha ya watu... ukitegwa kidogo tu unategeka kuwa makini.
 
Mkuu nafanya chochote kitakachowezekana
Aaha kama utamuoa wewe sawa.. Ila sasa una uhakika demu anakupenda kweli na yupo tayari umuoe???[emoji23][emoji23] Maana mkuu usije kumuoa sababu tu kaachwa na jamaa ake maana jama akirudisha majeshi aisee utakuja unalia hapaa...Atamlaaa anavyotakaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…