Hapo umenena mkuu, sio kama alfajiri ulivyokurupuka kutaka ushauri wa kumpata hg.Habari za usiku humu jamnvini, baada ya kuvumilia kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali mengi humu jamvini kuhusu mapenzi, sasa nachukua uhamuzi wa kuoa! Tatizo mke mwema ntamgundua vipi? Maana wanawake wakijua unataka kuoa hawaishi kufake .Aisha yao!
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.
Big up mkuu!1. Usioe kwasababu ya sura

Aaaaaaaaaah wapi! Oa mtu ambae una hisia nae BAAAAAAAAAAASS! Kama huna hisia na mtu hata awe na tabia gani utamchoka siku 2. USICHAGUE MKE KWA WOGA WA MAISHA.
Habari za usiku humu jamnvini, baada ya kuvumilia kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali mengi humu jamvini kuhusu mapenzi, sasa nachukua uhamuzi wa kuoa! Tatizo mke mwema ntamgundua vipi? Maana wanawake wakijua unataka kuoa hawaishi kufake .Aisha yao!
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.
kila la kheri dogo.ila kws utakayempata take ya tym kumfahamu.usikutane nae leo kesho ndoa.atleast mwaka au miwili inatosha kumfahamu.usimuonyeshe kuwa unamchunguza coz atakufake mambo mengi sana.unaweza tu ukamwambia ndoa mwaka kesho mwishoni.yaani unaiweka mbali tu ili mipango yako iende taratibu sana huku ukiangalia upepo.
Aaaaaaaaaah wapi! Oa mtu ambae una hisia nae BAAAAAAAAAAASS! Kama huna hisia na mtu hata awe na tabia gani utamchoka siku 2. USICHAGUE MKE KWA WOGA WA MAISHA.
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.
Nahisi kuna somo linahitajika hapa!
Na ikiwa nimekusouma vizuri, umesema hivi: Ni vipi utamtambua ke asiefake tabia! Si ndio?
Hiyo inamaana tabia njema sio tatizo bali kutambua kwamba hizo tabia ni original or fake ndio issue! Si ndio?
...
Embu twende taratibu, na anza kunijibu hayo maswali ili tuende sawa!
Huenda nikakusaidia hapa
Mkuu ndo hivyo, swala la unyumba najali bt tabia ni muhimu, hii itanisaidia kuwa na uhakika wa maisha marefu, familia yenye heshima, furaha kwenye ndoa, uvumilivu na kutiana moyo. Sasa akifake itakuaje?