King Mculture
Member
- Aug 31, 2013
- 98
- 15
Pole sana ndo vyuo vyetu hivyo....sanaa tupu....unategemea wahitimu nao wasiwe wasanii...
Nadhani moja unamaanisha mahafali na si mahafari...lakini kwanini usiwaulize UDOM administration?, pili wahitimu wenzako wamesema nini kuhusu hilo? Kama umefanya hivyo wao wamesema nini?
Experience ya wahitimu wa mwaka mmoja kabla yenu ikoje?
Experience inaonesha hiyo pesa haitumwagi,kuna gruduants wa 2011 hawajaipata hiyo pesa!
weka namba yako hapa nikurushie hiyo 20000Ndugu wadau tusaidiane kwa hili, Ni mda sasa tangu sherehe za mahafari pale UDOM zimalizike, tulilipia Tsh. 55,000/= kwaajiri ya vazi la sherehe(JOHO) ,kwamkataba kwamba ukirudisha vazi hilo utarudishiwa kiasi cha pesa Tsh 20,000/=, sasa turirudisha na kuahidiwa kuingiziwa pesa hizo kwenye akaunti zetu, sasa naona kamuda kanazidi kuwa kakubwa . Kulikoni?? Nawasilisha
Mnatakiwa kufungua kesi haraka!
Nadhani moja unamaanisha mahafali na si mahafari...lakini kwanini usiwaulize UDOM administration?, pili wahitimu wenzako wamesema nini kuhusu hilo? Kama umefanya hivyo wao wamesema nini?
Experience ya wahitimu wa mwaka mmoja kabla yenu ikoje?
weka namba yako hapa nikurushie hiyo 20000
kumbe unaitaka ile ya udom,mimi nilidhani umebanwa na shida na unategemea hiyo hela.usijali lakini subira ya vuta heriobama wa bongo, ni kweli naitaji kiasi hicho, ila si kwakukinga bakuri, ni kwakudai jasho langu.
Ila historia inaonesha vijana wa udom wavumilivu sana....boom si huwa mnapata karibu term inaisha...endelea tu kuvumilia...
Huu ni ufisadi mwangine tena mkubwa piga hesabu hapo ukute wamemaliza wanachuo 6000 uzidishe mara elfu 20000 utaona ni kiasi gani hawa jamaa wanapata hizo faranga sisizo na jasho.
Huu ni ufisadi mwangine tena mkubwa piga hesabu hapo ukute wamemaliza wanachuo 6000 uzidishe mara elfu 20000 utaona ni kiasi gani hawa jamaa wanapata hizo faranga sisizo na jasho.
Kamali nzuri sana hiyo,kilichoenda kwa mganga.......