Nimeuza roho yangu kwa Mammon

Nina majibu ya maswali ambayo bado wewe unajiuliza
Nina siri za ulimwengu ila bado ni mtumwa
Funguka!!Je ulienda ardhi ya kwanza,ya pili,ya tatu,yanne na kuendelea!!?je ninkweli wakubwa wa nchi uliwaona hapo ardhi ya kwanza!!?je wapo makundi makundi kama zilivyo tasnia za Sanaa za huku Dunia ya mwanga!!?
 
Umeuza kwa sh ngapi nami nataka kuuza mana maisha magumu knoma, japo nipate chochote kitu nianze biashara
Kwa mikataba maalumu tafuta kitabu cha VILE OF DARKNESS kisome niyakuelekeza jinsi ya kuchora nyota ya damu ( pentagram) na sigil za mammon (hirizi yake ) .
Fanya kwanza usome upate maarifa
 
Mwamposa ni mwenzetu
Imani za kipuuzi.

Shetani hawezi kununua kitu anachopata bure.

Kama wewe sio mkristo, kashakupata. Kama wewe ni mkristo ila hautubu, kashakupata. Ukiwaza tu kuhusu kuuza roho yako kashakupata kwasababu unamkataa roho mtakatifu.

Tumia imani vizuri zikusaidie, acha kuhangaika na upuuzi.
 
Kwani hukusoma mkataba kabla ya kula kiapo, vipi ushapata pesa au bado? maana nilisikia kuna wajanja huwa wanawafanyia mchezo na wana kuwa untraceable na hao viumbe
Mkataba huu ni wa moto ( mahul moto) kuna nimefanya kwa shuruti baada ya kumwita mammon.
Nilipoteza fahamu (frequency change ) nikaenda kwenye dimensions zingine.

Huku ndipo nilipojukua kiapo hicho kwa kipigo kikali
 
ChatGPT peke yake haiwezi kumsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…