Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,916
- 24,674
Muda wowote toka sasa naweza kuamisha makazi yangu ya kudumu hapa Dodoma na kuelekea sehemu yoyote isiyojulikana,
Hii imekuja baada ya kupasua mchoro wa mke wa mjeda wa hapo Ihumwa , alafu jamaa mjeda mwenyewe kajua ananishikilia kwenye simu na vitisho kibao.
Analazimisha mke wake amtajie napoishi, na kasema akinikamata ndio nitajua kilichomtoa Mbuni Manyoya,
Sina Amani kabisa, msala umeanza saa tisa hii hii ya leo.
Hapa nawaza kama vipi usiku huu ukiingia tu Niunge na gari kubwa nitokomee kusikojulikana.
Mahombi yenu wakuu.
Nb.
Mchoro--Papuchu
Kupasua--kuchakata.
Cc Zero IQ