Nimeupasua Mchoro wa mke wa mjeda hapa nipo mguu nje mguu Ndani

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,916
24,674
Muda wowote toka sasa naweza kuamisha makazi yangu ya kudumu hapa Dodoma na kuelekea sehemu yoyote isiyojulikana,

Hii imekuja baada ya kupasua mchoro wa mke wa mjeda wa hapo Ihumwa , alafu jamaa mjeda mwenyewe kajua ananishikilia kwenye simu na vitisho kibao.

Analazimisha mke wake amtajie napoishi, na kasema akinikamata ndio nitajua kilichomtoa Mbuni Manyoya,

Sina Amani kabisa, msala umeanza saa tisa hii hii ya leo.

Hapa nawaza kama vipi usiku huu ukiingia tu Niunge na gari kubwa nitokomee kusikojulikana.

Mahombi yenu wakuu.

Nb.
Mchoro--Papuchu
Kupasua--kuchakata.

Cc Zero IQ
 
Mwana,potea Dom hapo,akiendA amary kwa waliopitia army wanajua,anaweza pewa manati ya kizungu( bastola) alipewa tu,kakumwaga ubongo.
Sepa mwana
 
Unapoamua kutake risk inamaana umeshafikiri possibility ya kupoteza au kupata na ukajiandaa vyema ss kwann unataka kukimbia? Kwani ulipoamua kufanya ulilofanya si ulifahamu kuna uwezekano wa kukamatwa na kupoteza utakachopoteza?
 
Muda wowote toka sasa naweza kuamisha makazi yangu ya kudumu hapa dodoma na kuelekea sehemu yeyote isiyojulikana,

Hii imekuja baada ya kupasua mchoro wa mke wa mjeda wa hapo ihumwa , alafu jamaa mjeda mwenyewe kajua ananishikilia kwenye simu na vitisho kibao,
Analazimisha mke wake amtajie napoishi, na kasema akinikamata ndio nitajua kilichomtoa Mbuni Manyoya,

Sina Amani kabisa, msala umeanza saa tisa hii hii ya leo,
Hapa nawaza kama vipi usiku huu ukiingia tu Niunge na gari kubwa nitokomee kusikojulikana.

Mahombi yenu wakuu.

Nb.
Mchoro--Papuchu
Kupasua--kuchakata.

Cc Zero IQ
We nae nikafikiri mchoro wa nyumba!!

Sent from my ONE A2001 using JamiiForums mobile app
 
Muda wowote toka sasa naweza kuamisha makazi yangu ya kudumu hapa Dodoma na kuelekea sehemu yoyote isiyojulikana,

Hii imekuja baada ya kupasua mchoro wa mke wa mjeda wa hapo Ihumwa , alafu jamaa mjeda mwenyewe kajua ananishikilia kwenye simu na vitisho kibao.

Analazimisha mke wake amtajie napoishi, na kasema akinikamata ndio nitajua kilichomtoa Mbuni Manyoya,

Sina Amani kabisa, msala umeanza saa tisa hii hii ya leo.

Hapa nawaza kama vipi usiku huu ukiingia tu Niunge na gari kubwa nitokomee kusikojulikana.

Mahombi yenu wakuu.

Nb.
Mchoro--Papuchu
Kupasua--kuchakata.

Cc Zero IQ
Unautani mkuu yaani tukuombee kabisa wakati una chakata ulitushirikisha,jiandae tu hayo marinda yako kutatuliwa.
 
Back
Top Bottom