Kufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10
Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4.
Nilifanya biashara alafu nikaendelea na kazi nyingine. Huwa siweki SL.
Sihesabu kama hasara Bali nahesabu kama gharama za kufanya forex. Ahsanteni sana