Nimeumizwa na tukio hili

Dah! Hadi nimelia!! Ina mana hao wazazi wa marehemu mtoto walishindwa hata kuelewa hisia za mtoto jamani!! Laana ya huyo mtoto itawatafuna sana!! Wakajute kabisa! Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi-amina
 
Kweli mkuu, inaumiza sana
 
Nakubali mkuu, hakuna aliyetaraji hayo kutokea. POLE SANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…