Nimeumia sana

Mtandaoni kwanini mpaka uumie ? 😂😂😂
TAIFA linazalisha Vijana wanaopenda kufarijiwa sana
Ooh? Hata msibani watu hufarijiwa. Sio kwamba wanapenda kufarijiwa ila ni kawaida ya binadamu pale mtu anapokuwa amehuzunishwa biala hiari yake. Je ww hupendi kufarijiwa i.e. Watu wenzio wakuoneshe kwamba "Tuko pamoja?"
i.e. Kuliwazwa ni faraja na kitulizo kwako.
 
Kufarijiwa humu JF ? Big no aisee
 
inauma,
lakini inakubidi uzoe tu 🐒
 
Pole sana mkuu, wengi wetu humu tuna matatizo ya akili na misongo ya mawazo. Tuelewe tu na baada ya muda usipokuwa makini na wewe unaweza kuwa kama sisi.
Tayar ashakua kama sisi sema anavungaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…