Nimeumia sana

Utatia wangapi uchaa mkuu,wewe umemkuta keshapitiwa.
Na huenda hapo ameshapitiwa na kuachea mara kadha wewe ukiwanae na huenda hadi unaweza kufa au kuuawa kwa ajili yake na watu wataendelea kumpitia.

Habeeb Marhan
Historian ya nyuma hainihusu,Mimi naangaria kuanzia tulipokutana nakupewa nafasi ya kuitwa Mke Wangu,kuanzia hapo ukimgusa tu basis hutokuwa salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historian ya nyuma hainihusu,Mimi naangaria kuanzia tulipokutana nakupewa nafasi ya kuitwa Mke Wangu,kuanzia hapo ukimgusa tu basis hutokuwa salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi anaekugusia ni bwana wa mwisho wa huyo mkeo,ndiyo walivyo hao,mukikwaruzana kido anaona shida kuanzisha uhusiano mpya,anainua simu kwa wazamani.

Habeeb Marhan
 
Yawezekana kuna jambo dereva alimfanyia kondakta lililomuuma sana basi kondokta akaamua kumwaga mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…