Eeh! Kigugumizi tena!! Mie hapa nimezimia kabisa.Pole saana kwa kuumia maishamema, mwenyewe nimeumia saana kwa wewe kuumia, hadi nimepatwa na kigugumizi.
Huku mtaani mkuu kuna kila aina ya Umafia jichanganye hayo ni madogo mbona.
Nikikiweka chini sitaweza kufafanua ujue! Ngoja kwanza.You'll be informed, stay tuned
Ebu weka hicho kipisi chini unifafanulie hapo vizuri ukimaliza utakichukua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atajiburuza nao hivyo hivyo.Unamtafutia kijana wangu matatizo...
Mfupa ulionishinda mimi fisi, yeye dogi atauwezea wapi?
Haha
Inasababishwa na viongozi wetu.Watu siku izi wanaroho ngumu sana mjin sijui inasababishwa na nn,... Ii dizaini ya kina mange, they don't care people's feelings,inasikitisha sana
Inauma snA true story;
Leo jioni nilikuwa narudi katika kazi zangu ghafula nikaona wanaume wawili wanagombana stendi,nikamukaribia mtu mmoja ili nijue nini kimetokea,nikaambiwa hao ni dereva na kondakta wanapigana kisa ni kondakta wake huyo wa zamani kamweleza namna alivyo tembea na mke wa boss wake huyo (dereva) alimwambia siku aliyotembea na mke wake namna alivyovyovaa na uongo aliotunga mkewe,maneno hayo yalimchoma sana huyu mwenye mke ikabidi arudi nyumbani na kumtandika vibaya mkewe ambae ametoroka na hajarudi mpaka jioni,baada ya hapo akarudi stendi na kuanzisha ugomvi na kondakta huyo ambao ulikuwa ni mkali sana kiasi ambacho yule mtuhumiwa ikabidi akimbilie polisi, imeniuma sana najiuliza huyu bwana (kondakta) amepata wapi ujasiri wa kusema kwa wazi uhalifu wake namna ile na uaminifu kwenye ndoa uko wapi,na vipi hatima ya ndoa hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Utatia wangapi uchaa mkuu,wewe umemkuta keshapitiwa.
Mkuu....,kila MTU ana uwezo wake wa kupokea jambo,,wanawake ni mashweetwanPole saana kwa kuumia maishamema, mwenyewe nimeumia saana kwa wewe kuumia, hadi nimepatwa na kigugumizi.
Huku mtaani mkuu kuna kila aina ya Umafia jichanganye hayo ni madogo mbona.