Nimeumia sana

Ahead

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
2,410
Reaction score
2,735
A true story;
Leo jioni nilikuwa narudi katika kazi zangu ghafula nikaona wanaume wawili wanagombana stendi,nikamukaribia mtu mmoja ili nijue nini kimetokea,nikaambiwa hao ni dereva na kondakta wanapigana kisa ni kondakta wake huyo wa zamani kamweleza namna alivyo tembea na mke wa boss wake huyo (dereva) alimwambia siku aliyotembea na mke wake namna alivyovyovaa na uongo aliotunga mkewe,maneno hayo yalimchoma sana huyu mwenye mke ikabidi arudi nyumbani na kumtandika vibaya mkewe ambae ametoroka na hajarudi mpaka jioni,baada ya hapo akarudi stendi na kuanzisha ugomvi na kondakta huyo ambao ulikuwa ni mkali sana kiasi ambacho yule mtuhumiwa ikabidi akimbilie polisi, imeniuma sana najiuliza huyu bwana (kondakta) amepata wapi ujasiri wa kusema kwa wazi uhalifu wake namna ile na uaminifu kwenye ndoa uko wapi,na vipi hatima ya ndoa hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu siku izi wanaroho ngumu sana mjin sijui inasababishwa na nn,... Ii dizaini ya kina mange, they don't care people's feelings,inasikitisha sana
 
Pole saana kwa kuumia maishamema, mwenyewe nimeumia saana kwa wewe kuumia, hadi nimepatwa na kigugumizi.


Huku mtaani mkuu kuna kila aina ya Umafia jichanganye hayo ni madogo mbona.
Hahhh mkuu hivyo viatu vya hili tukio hapana ni oversize kwangu
 
Pole saana kwa kuumia maishamema, mwenyewe nimeumia saana kwa wewe kuumia, hadi nimepatwa na kigugumizi.


Huku mtaani mkuu kuna kila aina ya Umafia jichanganye hayo ni madogo mbona.
Pole sana kwa kuumia! Hivi imekuwaje mkaumia? Hebu nami nifundishe.
 
Hayakuhusu halafu unaumia....binadamu mnashangaza sana

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…