Nimeumia sana rohoni mwangu nipeni msaada Wa mawazo pia nifanyeje

kweli kuku....naunapiga cha kuku, oyaaa mjomba haji tena huyo demu kakuona [ukipugiwa na wewe PUNGA].relax achaa kukamia mchezo, kula shiba vizuri....au kama vip tafuta congo dust mwanaaa
 
Nadhani toka mwaka Jana mwez Wa 10

Sent using Jamii Forums mobile app

Manina miaka 27 na hujatomba toka mwaka jana mwezi wa kumi huwezi kuwa mtu makini Wewe au ulikuwa unajitunza paka siku Ya ndoa sisi wenzio tunawekana kila nafasi inapotokea na tunapenda kucheza na timu tofauti ili kujipimia kiwango cha timu Kama kipo salama

Muda wote ulikuwa unasubiria nn?
 
Hahaha
Bora hata ulimgongea ghetto ingekuwa hoteli hapo unaweza hata kudai hela yako. Utakuwa na uoungufu mkubwa wa nguvu za kiume siku nyingine njoo Kino ununue vumbi la Congo ukarudishe heshima. Ni PM nikutumie namba ya muuzaji ukapate tiba
 
Duh!!!!!!!pole sana mkuuu kwa hiyo fedheha iliyokupata,vp huwa unapiga punyeto?????
 
Ata usiumie mwaya sisi pia hua tunaelewa, mbona ata ss sometymes ni magogo kitandani, wala usijiskie vibaya, fata ushaur positive badae mambo yatakua poa, unatakiwa uwe centre ya furaha yako mwenyew na kujipa amani, jipe moyo relax, utafanya poa, wala usijiwazishe ukiendelea kuwaza utaarib zaid
 
Mkuu majukumu yanakaba
 
Aisee unahitaji ushindi wa kipompi ili ushinde mechi zako maana ukitingishiwa tako kigogo tu unamwaga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…