BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,020
😂😂😂😂Baba kele ni mchepuko wa mke wa jirani
Msalimie baba kele
Msalimie baba kele
Amfikishie salamu zangu😂😂😂😂Baba kele ni mchepuko wa mke wa jirani
Hem jifanye ndo wewe ungemfanyaje mke?Msalimie baba kele
Mkeo anaomba hela unampa vibao? Unaakili kweli?
Subiri akutane na General Galadudu, utakuja humu kutulilia.
Mwambie akaolewe na baba kele, wala isiwe shida.Kuna jirani yangu mmoja anaitwa baba kele, sasa jana tukiwa tunazungumza na wife mipango ya hapa napale, sehem alikokua ametembelea jion jion kuna nguo katka duka fulani alikua ameiona akaniomba pesa ili akaichukue kwakua kwa mda huo skua na pesa nikamwambia apoe tu siku zijazo nitampatia pesa ataenda achukue maana nguo madukani haziishi
Kwa zarau na kunikosea heshima wife akanijibu, et mmewangu hujifunzi hata kwa wanaume wenzio? Unamwona mama kele anavyotunzwa na mmewake?,,,aah mimi nipe hela nikailipie hio nguo buana
Nilichukia sio siri nikajikuta nampa vibao sijawai kumpiga mke wangu ila kwahili nimeona anataka kuniletea zarau.
Imetumwa na Exalioth
Natumia app ya jamiiforums
Ningefanya kama baba kele tuHem jifanye ndo wewe ungemfanyaje mke?
Mnagawana majengo ya serikaliUlipaswa umpe talaka moja kama onyo.
Mwanamke kama huyo akikutana na vichwa kama mimi sasa hivi angekuwa kwa Nyete
Ukute hiyo sehemu ya kununulia nguo, Muuza nguo ameshafanikiwa kumuuzia nguo if you know what I mean
TUJITEGEMEE
Huyo ni mke wetu
We bwege kinachofata nampa hela mkeo usije ukauliza mchawi nani!
umempigia nini sasa?! Wanaume acheni ujinga. Wewe ukimwambia neno lolote la kumlinganisha na wanawake wenzie na yeye akupige... Kama huna hela hata mbwa wako atakung'ata
Sawa mkuu, kwa hiyo tupe mrejesho basi zimeisha au bado upost nyinhine !!!Nmeposti ili kupunguza stulesi