Nimeumia sana: mke wangu kamsifia baba kele eti anamtunza vizuri mke wake.

Kuna jirani yangu mmoja anaitwa baba kele, sasa jana tukiwa tunazungumza na wife mipango ya hapa napale, sehem alikokua ametembelea jion jion kuna nguo katka duka fulani alikua ameiona akaniomba pesa ili akaichukue kwakua kwa mda huo skua na pesa nikamwambia apoe tu siku zijazo nitampatia pesa ataenda achukue maana nguo madukani haziishi

Kwa zarau na kunikosea heshima wife akanijibu, et mmewangu hujifunzi hata kwa wanaume wenzio? Unamwona mama kele anavyotunzwa na mmewake?,,,aah mimi nipe hela nikailipie hio nguo buana

Nilichukia sio siri nikajikuta nampa vibao sijawai kumpiga mke wangu ila kwahili nimeona anataka kuniletea zarau.


Imetumwa na Exalioth
Natumia app ya jamiiforums
Mwambie akaolewe na baba kele, wala isiwe shida.
 
Unaonekana unashida ya kucontrol hasira ya maisha mfano tu unampiga ukimkuta baba kele ndani siutaishia jela
 
Kwamaneno niliyoyaandika hapo nimefupisha tu ukwel alinisomea mengi mengne ni siri yangu tu
Unaonekana unashida ya kucontrol hasira ya maisha mfano tu unampiga ukimkuta baba kele ndani siutaishia jela
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom