Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,456
- 170,782
kama ni kweli nimepigwa basi mjue Lady doctor kahusika maana jana nilikuwa nae kule babati.
nitampiga vichwa huyu mwanaume, mwache tu ajitoe ufahamu.....
umezidi ubabe mpaka mumeo anataka kukukimbia... Na bado safari hii mtakula ugali kwa mboga ya maji ya pilipili
umemuaga Chimbuvu ? asije kutufuata huko
mie siruhusiwi kupiga mtu mtu maana nina mshipa mmoja naweza mpa konde moja tu chali !!! mada kesi ikanihusu.