Nimeulizwa na mdada nina michepuko mingapi?

Mpe jibu la ukweli. Mwambie ukweli. Akiuchukua sawa.. asipouchukua sawa...
 
Yani unatafakari kiundani swali dogo kama hilo toka kwa 'rafiki wa muda kidogo' je angekua padre/shekhe ama mama/baba ingekuaje!.
Kifupi muangalie machoni kisha fanya haya mawili MDANGANYE au MWAMBIE UKWELI
 
For the first time mumuona nokia torch akitongoza live


Aaaaaah samahani mubashara
 
Mwambie ukweli, si rafiki yako au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…