Nimeulizwa na mdada nina michepuko mingapi?

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,180
Reaction score
1,275
Wasalaam,

Kwa kweli nimejikuta katika wakati mgumu baada ya rafiki yangu wa muda kidogo kuniuliza idadi ya michepuko niliyonayo. Mpaka sasa bado nalitafakari swali hili mpaka nahisi kuna kitu kimejificha.

Naombeni mnisaidie nimjibu vipi ili nisiharibu urafiki wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…