mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
We ndiyo mvivu wa kutojishughulisha kujua.....Is that the only thing you saw on my comment??? The way forex is conducted is totally wizi... Nenda kafungue madesa then nenda YouTube kasikilize manguli wa uchumi duniani wakifafanua kwa undani vile utapeli huu wa kiuchumi ulivyo
Acha uvivu wa kutafuta maarifa na tumia simu yako vizuri kujitafutia maarifa. Usinchoshe wakati smartphone unayo
Rudi ukasome ndugu, sikatai ndani ya FOREX kuna matapeli especially brokers ambao uwa wanacheza michezo michafu na watu wanapoteza ela na sometimes wanacheza na platforms zao za Trading lakini ni kosa kisheria na waliogundulika wamelimwa faini na kufungwa.
Haya yote hayafanyi FOREX kuwa utapeli ni sawa na dunia siyo mbaya walimwengu ndiyo wabaya...