Nimetongozwa na binti wa kimbulu hadi natetemeka

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari..

katika shughuli zangu nimekua nikikutana na huyu binti kila mara nilimchunguza chunguza akaniambia yeye ni mbulu , tukawa tunapeana salama tunapo kua tunakutana na ninavaa ukauzu sitaki shobo nae zaidi ya salamu tuu.

Sasa leo asubuhi katika pitapita nikakutana nae town mapema sana nilimpa salamu na kuendelea kusonga mbele na harakati zangu, gafla nageuka nyuma naona ananifata ikabidi ni simame nikamuuliza naona tunaelekea njia moja acha nikupe kampani mpaka nitakapo ishia mimi au wewe kila mtu aendelee na mambi yake ,cha kushangaza akaniambia hapana nimeona nikufate kunajambo nataka kukueleza, nikamuukiza jambo gani akaanza kuomba msamaha huku anajilegeza legeza sasa bana

Jambo lenyewe kwani anasema sasa , gafla tuu nimejikuta ananipiga mistari na swaga kibao eti ananipenda sana muda tu ila mimi namkaushia sana hivyo anataka tuwe wapenzi.

Sijamjibu chochote mpaka tunachana maana nilijikuta na tetemeka sana huku nikijiuliza ninavyo kua kauzu hivi kanionaje hadi aje kunitongoza mimi. kwa kweli mwili bado unatetemeka sana ngoja kwanza nikanywe supu nitarudi baadae..
 
1684046437646.png
 
Hio kabila huwa ni majasiri sana. Ila atleast umeona huwa wanawake wanajisikiaje wanavyotongozwa..... ni kipengele
 
Habari..

katika shughuli zangu nimekua nikikutana na huyu binti kila mara nilimchunguza chunguza akaniambia yeye ni mbulu , tukawa tunapeana salama tunapo kua tunakutana na ninavaa ukauzu sitaki shobo nae zaidi ya salamu tuu.

Sasa leo asubuhi katika pitapita nikakutana nae town mapema sana nilimpa salamu na kuendelea kusonga mbele na harakati zangu, gafla nageuka nyuma naona ananifata ikabidi ni simame nikamuuliza naona tunaelekea njia moja acha nikupe kampani mpaka nitakapo ishia mimi au wewe kila mtu aendelee na mambi yake ,cha kushangaza akaniambia hapana nimeona nikufate kunajambo nataka kukueleza, nikamuukiza jambo gani akaanza kuomba msamaha huku anajilegeza legeza sasa bana

Jambo lenyewe kwani anasema sasa , gafla tuu nimejikuta ananipiga mistari na swaga kibao eti ananipenda sana muda tu ila mimi namkaushia sana hivyo anataka tuwe wapenzi.

Sijamjibu chochote mpaka tunachana maana nilijikuta na tetemeka sana huku nikijiuliza ninavyo kua kauzu hivi kanionaje hadi aje kunitongoza mimi. kwa kweli mwili bado unatetemeka sana ngoja kwanza nikanywe supu nitarudi baadae..
Dume zima kauzu unacho tetemeka ni nini kama sio udomo zege?
 
Ila hili kabila uwe makini sana...Hawa kawii kukutambulisha kwa bwana wake mwingine akisema huyu ni mdogo wangu!🤗🤗
 
Back
Top Bottom