Nimetokea kuchukia ndoa

Kwa hiyo kumbe mwanaume akichepuka na mwanamke naye anaenda kutiwa nje kama kulipa kisasi na mapenzi ana hamishia huko huko kwa mchepuko halafu na bado anaendelea kujiita mke wa mtu?

Aisee!! Kama ndio hivi acha tu vijana waendelee kuwatombaa na kuwaacha na sio kuwaoeni. Maana hamfai hata kidogo
 
Hivi kweli mtu uvue nguo zote mchana kweupee ukifanya mapenzi nje kibarazani tena bila kuchukua tahadhari ya kufunga geti. Huyo dada ana matatizo ya akili au hii story ni ya uongo.
 
Wewe ni mgumu kuelewa au unalazimisha tu mambo?

Ndoa nyingi za sasa hivi mgogoro mkubwa ni uchepukaji,na asilimia kubwa ni wanaume kuchepuka kwao ndiyo kunapelekea wake zao nao kuchepuka,siyo kila ndoa lazima iwe hivyo...

Huyu mleta mada aseme kama anamfahamu jamaa yake vizuri,je si mchepukaji? Maana unaweza kuta mleta mada anachoshangaa kuona mwanamke anapewa kila kitu mpaka biashara halafu anachepuka,ndiyo maana nikasema wanaume muelewe mapenzi siyo pesa! Siyo sababu mtu anakula,anavaa nk then urudi home saa6 na kuendelea ingia toka kila siku ....

Hivi kwanini mwanamke akichepuka mnaumia sana? Mnajiuliza kama hamuwezi kazi,hamtutoshelezi nk, mlishawahi kujiuliza nasi tunawaza nini mkichepuka ? Tunawaza hamtupendi upendo umeshaisha,ndiyo sababu umetafuta mbadala...mnaambiana mchepuke kwa akili mke asijue,mnajua akijua hakuna ndoa tena.....hata kama utasemehewa lakini upendo hakuna tena!
 
Nyie wanawake huwa hamkosi sababu. Akichepuka mwanaume ni kwasababu ya umalaya wake ila akichepuka mwanamke ni kwasababu ya mwanaume. Kuna wanaume hawachepuki ila wanawake wanachepuka. Nao utawaweka kundi gani? Utasema mumewe hamridhishi kitandani. Je, na mwanaume anayechepuka na mkewe hachepuki naye utamuweka kundi gani? Najua hautasema mkewe hamridhishi kitandani utasema ni umalaya mwanaume.
Itafika mahala, tutataka ndoa za mikataba au unapiga mimba unalea mtoto, ukihitaji mtoto unapiga mimba unalea mtoto.
NDO IHESHIMIWE. KAMA UNACHEPUKA USIOE AU KUOLEWA ILI UCHEPUKE VIZURI. VINGINEVYO LAZIMA NDOA IVUNJIKE TU HAKUNA NAMNA
 
Huyo rafiki yako ambae umekuwa ukimshauri ndio umemkuta mke analiwa uroda barazani? Bado sijaelewa yani
 
Hujui kama kuna wanawake hawachepuki? Nao wafanyaje?
Mwanamke hata asiporidhishwa kitandani kama anakupenda hawezi kuchepuka atakuvumilia...

Hii sababu ya kutoridhishwa nimeitolea kama sababu inayowafanya muumie sana mkeo akichepuka inakupa mawazo kwanini amechepuka ina maana mimi ni hivi au vile...! Sijui umenielewa kwanini nilisema hivyo?
 
Hivi kweli mtu uvue nguo zote mchana kweupee ukifanya mapenzi nje kibarazani tena bila kuchukua tahadhari ya kufunga geti. Huyo dada ana matatizo ya akili au hii story ni ya uongo.
nimesema barazani na siyo kibarazani(barazani nikimaanisha seblen)
 
dah nmekuelewa sana mkuu
 
Yaani kwa uzi huu, mleta mada nae alikua anamendea mzigo ndio maana kachanganyikiwa hivi,
1) alikuwa mshauri wa hiyo ndoa muda mrefu.
2) alienda nyumbani kwa jamaa bila taarifa.
3) hakutegemea kwamba shemeji ana gegeduliwa na mtu mwingine.
4) kitendo chake cha kupiga picha.
Ushauri: nawe omba mzigo maisha yaendelee.
 
Una hakika anapewa kila kitu?.
 
Kwahiyo unavutiea na wanaume wenzio?

Akina confession,xteper,ray sijui nini walishajiweka wazi. Haitokuwa mbaya ukifuata nyayo zao. Kila la kheri.
 
Eti "unapewa kila kitu"
Mungu mwenyewe hakupi kila kitu, who are you uweze kumpa kila kitu binadamu mwenzio
 
umeongea mavi
 
kama umeoa,ndoa imekushinda basi jaribu kuolewa,huwezi mtu ukakosa vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…