I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,731
- 10,033
Sema kina mafuta mengi!
ni kitumbua mkuu sio mpishi😁😁Kwa hiyo umemla mpishi kitumbua!!? Mbona title yako ni changamoto.
😀😀Ccm oyeee
Hahah lugha mchanganyo mchanganuo.Mimi nikajua umekula Kitumbua kumbe umekula kitumbua.
kwani mkuu we unaongelea kitumbua au kitumbua cha kula??😂😂Kitumbua kilitiwa hamira inavyoonekana,ila hongera sana.
Nimekuongelea kwa ujumla.kwani mkuu we unaongelea kitumbua au kitumbua cha kula??😂😂
na kitumbua kimejaaaKing Mufasa, je ulivaa barakoa wakati unakula?
Nilijua umekula kitumbua cha nyama kimasihara kumbe kitumbua cha mchele.
Kula ukiwa umevaa barakoa haitakupa radha asilia mkuu muhimu kutovaa ufurahie maisha. KWANZA ZINABANA PUMZI.King Mufasa, je ulivaa barakoa wakati unakula?