nimetoka kifungoni

nimetoka kifungoni

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
Nimemaliza kifungo cha wikimbili toka nimeyatukana Magamba ninasema hivi nitaendelea kuyatukana mpaka pale uongozi wa JF utakapo kuwa unazifuta mada za kichokozi dhidi ya CDM kama ile ya tuhuma ya LEMA dhidi ya changu wa CCM anae jisifu kubakwa
 
Pole sana kamanda, Karibu tuendelee na mapambano;

Kamanda ukitaka kupambana na magambaz kwa matusi watakushinda kwani wao wamesomea matusi na wana uzoefu wa kutosha. Hivyo basi njia muafaka ya kukabiliana nao ni kupangua propaganda zao na kuwapoteza kabisa kwa hoja za msingi.
 
Back
Top Bottom