nimetoa cheka na kitime?

nimetoa cheka na kitime?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,994
KONDA: Denti achieni viti sogeeni nyuma, halafu madenti wa siku hizi usharobaro tu mnaishia kupata divishen tano, enzi zetu mtu ukitoka shule unakuwa na kitu kichwani
DENTI: Acha matusi tunasoma na tunaelewa sana
KONDA:Kama unaelewa nambie 3x3 ngapi?
DENTI: 33
KONDA: Huna lolote umebahatisha au atakuwa kakutajia mwenzio huko nyuma
 
Jamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
Jamaa: Muhudumu nipe supu na kila mtu humu ndani mpe supu maana ninapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu. Watu wakapewa supu tena safari hii wakapiga makofi.
Jamaa: Muhudumu nipe bili, na kila mtu humu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe yake. Zogo lilianzia hapo.......
 
DOGO: Mama nami nataka mdogo wangu kama akina Gulo MAMA: Haya baba yako akirudi toka masomoni tutaongea nae tukutafutie DOGO: Mama si utafute sasa baba akirudi tumsapraiz?
 
ANKO: Bebi itakuwa ngumu mimi kukuoa, familia yangu yote inapinga
ANTII: Yaani mwanaume mzima unakatiliwa kuoa na familia yako na unashindwa kujitetea. Ina maana hunipendi
ANKO: Nakupenda sana bebi
ANTII: Nani hasa kwenye familia yako anayeweka vikwazo nikajaribu kumuona
ANKO: Mke wangu na watoto wetu wote tisa
 
IMG-20140219-WA0029.jpg

Anko ushione hivi, kwansha mi shina kosha lolote, jamaa nilikuwa namtania tu, shi ndio akaansha kunishukuma makonde bila shababu sha mshingi. Naomba chama na sheykali shiweke kipengele katika katiba kushuia ukatili huu. Polishi nao eti wananisheka wanashema hawanipi mpshlee, nijitibu mwenyewe shawa kwey hiyo?
 
BINTI: mama mtu akipata kitu na mtu akikosa kizuri nini?
MAMA: Vizuri apate kitu
BINTI: Nimepata mimba
 
IMG-20140219-WA0029.jpg

Anko ushione hivi, kwansha mi shina kosha lolote, jamaa nilikuwa namtania tu, shi ndio akaansha kunishukuma makonde bila shababu sha mshingi. Naomba chama na sheykali shiweke kipengele katika katiba kushuia ukatili huu. Polishi nao eti wananisheka wanashema hawanipi mpshlee, nijitibu mwenyewe shawa kwey hiyo?

Dr.ulimboka, hii dunia!.
 
KONDA: Denti achieni viti sogeeni nyuma, halafu madenti wa siku hizi usharobaro tu mnaishia kupata divishen tano, enzi zetu mtu ukitoka shule unakuwa na kitu kichwani
DENTI: Acha matusi tunasoma na tunaelewa sana
KONDA:Kama unaelewa nambie 3x3 ngapi?
DENTI: 33
KONDA: Huna lolote umebahatisha au atakuwa kakutajia mwenzio huko nyuma

hahahahahaha hapo konda na denti walikutana wote sawa kama pipa na mfuniko wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom