katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Wee ulitoa namba za nini na ni nani alikuambia ule vyake alafu hujamalizana nae kwa alichotakaKuna mtu amenicall amesema nitaona nitajuta kumjua sasa simjui ninani.
Hapa naogopa tena kasema i am watching you.
Nashukuru walai nitatumaa.Nipe Namba yake kama utaweza ili nikukamatie huyo Digidigi.
Nimemuambia kabadili namba tena.Mwambie na wewe utaona
Kweli 4 mmoja wapo niwewe unayeongozaKweli katika watanzania 4 mmoja ni chizi
ππππππKatoto kazuri tema nimchape..
ππππHahahaaa!! Mahakama ya jf.
Sasa nimekukosea nini jamaniNi mimi mkuu.Kwaiyo umekuja kuni tangaza uku..utaonaa adhabu ina ongezekaaView attachment 960682