Jumanne Mkota JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,011 Reaction score 1,793 Apr 2, 2012 #1 wanabodi wote Nimetimiza wajibu wangu. Nilitoka kwetu Mwanga kwenda Arumeru kwa kazi Moja ya kupiga kura mabayo ni haki yangu ya msingi.nemeilinda na hakika imesababisha Hongera Nasari, hongera wana arumeru wote. Safari ya ukombozi imeshika kasi
wanabodi wote Nimetimiza wajibu wangu. Nilitoka kwetu Mwanga kwenda Arumeru kwa kazi Moja ya kupiga kura mabayo ni haki yangu ya msingi.nemeilinda na hakika imesababisha Hongera Nasari, hongera wana arumeru wote. Safari ya ukombozi imeshika kasi