Nimethibitisha kuwa ni kweli!

Nimethibitisha kuwa ni kweli!

Baada ya post mbalimbali hapa jf kuhusu wanaume wa Dar nimeamua kuja kujionea mwenyewe kama ni hadithi za kutungwa au ni kweli!90% ya post zinazosema mwanaume wa Dar ni lege lege ni kweli kabisa!
Umekutana na yapi mkuu, elezea zaidi.
 
Baada ya post mbalimbali hapa jf kuhusu wanaume wa Dar nimeamua kuja kujionea mwenyewe kama ni hadithi za kutungwa au ni kweli!90% ya post zinazosema mwanaume wa Dar ni lege lege ni kweli kabisa!
Nahitaji iphone used mkuu. Naweza pata?
 
Baada ya post mbalimbali hapa jf kuhusu wanaume wa Dar nimeamua kuja kujionea mwenyewe kama ni hadithi za kutungwa au ni kweli!90% ya post zinazosema mwanaume wa Dar ni lege lege ni kweli kabisa!
Umempa Papa nin hafu kawa legelege
 
Research imeenda haraka hongera kwa kumaliza utafiti
 
Wanaume wa dar ni very creative mkuu.huwezi kuishi dar km akili haichemki.dar hatuna shamba kila kitu pesa na hata ukiajiriwa mshahara ni nusu ya matumizi yako kwa mwezi still maisha yanasonga.janjaro kaja dar kaopoa uwoya kamuweka ndani unadhan angebaki kwa wavuta bangi umasaini angempata hata mwajuma ndala ndefu.
Ukitaka kuwa star njoo uishi dar.hii ndo bongo dar es salaam.
 
Iko hivii? Kuthibitisha ukamilifu wa wanaume wa Dar, kwanza uwe na jinsi ya "ke".
Lakini kama tunaongea na "me" kuthibitisha urijali wa mwanamme mwenziyo ni upunguani na ni matusi ya nguoni.
 
Wanaume wa Dar Ni legelege kweli ukiwakuta wanavyogombania daladala asubuhi na jioni Na kinamama utadhani wote wanawake
 
Nimepata ukakasi kujua ni njia gani uliyotumia kuthibitisha... Ulifanya practical nini boss?
 
Najua ulienda na mdada wa mkoani kukamilisha utafiti hongera mkuu
 
Back
Top Bottom