Achana na hizo mali, na naamini kisheria huna haki hapo maana mali ni za ndoa,nyumba tatu town Guesthouse inavyumba 13, na nyumba mbili za kupangisha kwa nyumba mbili za kupangisha zinavyumba 20, gari moja, na shamba hekari 26.
Sawa kabisa. Sasa nambie ni nini kusudio lako; kudai urithi? au?
Baada ya baba yangu kutoweka duninia nimekataliwa kuwa sio mmoja wa familia
nimekulia kijijini baba yangu alikuwa anaishi mjini ,kutokana na kuto kunitambulisha kwa ndugu na kuwatambulisha dada zangu pamoja na kaka zangu, baba wadogo na zangazi wadai mbona wao hawakutambuliswa!
Kwa msaada wenu mnafikiri nini nifanye ili nami nipate haki yangu?
Im in a way to quick learn/student, if money is neded what can i do?
Haki gan mnayotaka apiganie?akipigania mali ataonekana kumbe shida yake sio undugu bali mali.
Kuonyesha anajali undugu basi kama kuna swala la mali ajitoe kabisa, asihangaike na hiyo mali kama ipo.
Baada ya baba yangu kutoweka duninia nimekataliwa kuwa sio mmoja wa familia
nimekulia kijijini baba yangu alikuwa anaishi mjini ,kutokana na kuto kunitambulisha kwa ndugu na kuwatambulisha dada zangu pamoja na kaka zangu, baba wadogo na zangazi wadai mbona wao hawakutambuliswa!
Kwa msaada wenu mnafikiri nini nifanye ili nami nipate haki yangu?
Thanksgiving, labda nikueleze mimi nibado mwanafunzi kwa sasa nasomea maabara diploma mwaka wa kwanza kutokana na kuhangaika kulipa ada ya chuo ninatamani niombe hadi misaada wakati najua kabisa kwa nyumba za urithi kwa mwenzi si chini ya 1mill na laki kadha kwa nini nihangaike isitoshe yeye ndiye aliye nisomesha kutoka kinderndagarten hadi form 4! Je is there any right to human being mkuu?
Im african
Im human
Im child
Achana na hizo mali, na naamini kisheria huna haki hapo maana mali ni za ndoa,
Kama babako amefariki basi mali sasa ni za mke wake.Huna haki na hizo mali.
Kama Baba yako alikuwa anataka upate hizo mali angekupa akiwa hai, hilo heka za shamba angekumegea, kwa kuwa hakukupa akiwa hai basi funika kombe pigana maisha kivyako.
Kama shida yako ni undugu fuata undugu MALI ACHANA NAZO lakini kama SHIDA YAKO NI MALI basi wana haki kukukataa maana inakuwa kama ni opportunist tu ambaye shida yake ni kutafuta mali.
nyumba tatu town Guesthouse inavyumba 13, na nyumba mbili za kupangisha kwa nyumba mbili za kupangisha zinavyumba 20, gari moja, na shamba hekari 26.
Look within yourself, nobody know you like you do.
Kibongobongo.
I count billionaires in terms of major world currencies like USD/ GBP.
Madafu ya Kikwete hata ukija nayo 42nd St hapo wanapokubali karibu kila takataka hawayakubali.
Speaking of wealth and material trinkets, jana nilikuwa nafanya some IKEA shopping for some bathroom DIY projects (all them colognes need a new spacious home), kuna jamaa alinipiga fimbo sana na Porsche Macan S !
Asante, kwa hyo wazo lako mkuu mimi nijitenge?
Mwanangu, ninaelewa uchungu ulio nao. Ninaomba Mungu afungue mlango wa faraja.
Lakini ninapenda kufahamu, umri wako, na nini unachofanya sasa kama unasoma ama unafanya nini hasa na unaishije. Kijijini ulikuwa unaishi na nani. Haki gani ambazo unataka?
Uhusiano wako na baba yako kabla hajafariki ulikuwaje?
Mama yako yuko wapi?
Nani alikuwa anakuhudumia katika mahitaji ya maisha yako hapo awali kabla baba hajafariki?
tafuta pesa kwa JUHUDI NA MAARIFA YOTE wataanza kujipendekeza
Haki gan mnayotaka apiganie?akipigania mali ataonekana kumbe shida yake sio undugu bali mali.
Kuonyesha anajali undugu basi kama kuna swala la mali ajitoe kabisa, asihangaike na hiyo mali kama ipo.