Nimetembea na mama na binti yake

Hivi mkoa wa mwanza hauna mtandao
uliounganishwa na jf?
Na je huyo mdada wa chuo naye hajui kitu inaitwa jf?
Nahisi utashtukiwa na wote,jiandae kuleta huyo house girl.

wanaume wa Dar wenye wapenzi wao Mwanza wako wengi, wanawake wa Mwanza wenye wapenzi Dar wapo wengi vilevile
 
Wewe huhitaji ushauri ila kuchapwa viboko
kama kuna mtu anakufahamu atusaidie hilo.
umekuwa mbuzi mpaka unatembea na mtu na mama yake?
Ili kuondoa laana tafuta mtu,umwombe akupige viboko.

Mkuu mazingira ndio yaliosababisha, wala sio kwamba nina tamaa kupita kiasi
 
sheria ya torati ya MUNGU ni auliwe kwaiyo laana ni adhabu ndogo sana
 

Hadithi yako inatufundisha nini?
 
mkuu wewe tekeleza majukumu ya mwanaume....
umepewa mb.o ili iitumie inakotumikaga..hayo wasemayo wengine waachie wao..
 
endelea hivohivo mkuu, wewe ni legendary, wenzio tunatafuta bahati kama hizo hatuzipati
 
achana na huyo mama na binti yake,tulia na mpenzi wako mjenge maisha bora
 
We piga zote kama kawa, kama dawa. Fimbo ya mbali haiui nyoka na Michael Jackson alikuambia ""Dont stop till you get enough".


Ili kuweka heshima mtaani tafuna na binti mdogo wa form five, na ikiwezekana extends your investment mpaka kwa beki tatu wao kama yupo.

Yaani wewe ndio nyota ya mchezo, kama ni footballer basi uko kwenye level ya Messi au CR7, mwaka wako huu onyesha maujuzi.
 
Hii whisky kama hujashiba madhara yake hupanda kichwani....rudi kunywa konyagi tu
 

huyo jamaa ni nyota wa mchezo... aendelee hivyo hivyo ameintain kiwango chake... anajua kutumia rasilimali zake vizuri...
 
Duuh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…