Nimetapeliwa na mwanamke mtandaoni

Nimetapeliwa na mwanamke mtandaoni

Faru01

Member
Joined
Jun 29, 2022
Posts
80
Reaction score
238
Nina omba msamaha kwa uongozi wa CHAPUTA kwa hili kosa. Jana nimeingia kwenye app ya tagged nikapata manzi na tukaelewana bei, Sasa leo nikamcheki aje kasema nimtumie nauli, nikatuma akasema anakuja mimi nikaenda lipia lodge nimesubiri nikaona kimya nikamvutia waya.

Drama zikaanza mara ooh simu yangu inazima ya mkopo nitumie hela nilipie ila niwasiliane na ww nikiwa nakuja, machale yakagonga nikamwambia mpe boda yoyote namba angu anicall atakuleta nilipo manzi akachimba.

Dadeki lodge nimelipia pesa imeenda bure. Nilichojifunza wakuu UZINZI NI GHARAMA SANA NA TUJIFUNZE KU CONTROL HIKI KICHWA CHA CHINI.
 
IMG-20250813-WA0403.jpg
 
Yan huyu dogo kapigwa kijinga sana. Sema mzinzi yeyote huwa lazima uanzie huko ili akil ikukae sawaa.
Cha kwanza ni WAPI unawapatia hao malaya
Pili nani ana set terms kati ya client au server? Sasa wewe hapo point ya kwanza tunaweza kukusamehe, ila point yabpili huna excuse, uliacha mtoa huduma (service provider) at set the terms and conditions kwako wewe client mtoa pesa. This is a fatal error.
 
Nina omba msamaha kwa uongozi wa CHAPUTA kwa hili kosa. Jana nimeingia kwenye app ya tagged nikapata manzi na tukaelewana bei, Sasa leo nikamcheki aje kasema nimtumie nauli, nikatuma akasema anakuja mimi nikaenda lipia lodge nimesubiri nikaona kimya nikamvutia waya.

Drama zikaanza mara ooh simu yangu inazima ya mkopo nitumie hela nilipie ila niwasiliane na ww nikiwa nakuja, machale yakagonga nikamwambia mpe boda yoyote namba angu anicall atakuleta nilipo manzi akachimba.

Dadeki lodge nimelipia pesa imeenda bure. Nilichojifunza wakuu UZINZI NI GHARAMA SANA NA TUJIFUNZE KU CONTROL HIKI KICHWA CHA CHINI.
Kichwa na chini na juu vyote ulishindwa kucontrol
 
Pole man. Kila mtu amewahi kwa namna moja au nyingine sema tu tunajifunza kwa makosa.

Hafu Tagged waswahili Badoo kidogo washua. Tagged na Hi5 nadhani wanashare profile. Vitoto viswahili sana vilinipeleka hadi Tabata Segerea one day nafika hakapokei simu.
Kwann yeye ndio asikufuate wewe?
Pesa yako na bado uitolee jasho tena kwa malaya tu?? Why? Angekua mtu wa maana kusema ni girlfriend aununa future nae sawa..
 
Nina omba msamaha kwa uongozi wa CHAPUTA kwa hili kosa. Jana nimeingia kwenye app ya tagged nikapata manzi na tukaelewana bei, Sasa leo nikamcheki aje kasema nimtumie nauli, nikatuma akasema anakuja mimi nikaenda lipia lodge nimesubiri nikaona kimya nikamvutia waya.

Drama zikaanza mara ooh simu yangu inazima ya mkopo nitumie hela nilipie ila niwasiliane na ww nikiwa nakuja, machale yakagonga nikamwambia mpe boda yoyote namba angu anicall atakuleta nilipo manzi akachimba.

Dadeki lodge nimelipia pesa imeenda bure. Nilichojifunza wakuu UZINZI NI GHARAMA SANA NA TUJIFUNZE KU CONTROL HIKI KICHWA CHA CHINI.
dah,,,,kumbe kuna watu bado wanatuma nauli...
pole bana, wajasiriamali wanakuja wenyewe
 
Back
Top Bottom