Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,985
- 1,423
UFAFANUZI: Nimewasiliana nao, hakukuwa na utapeli wowote. Mwanzisha mada ameomba radhi.
Ningependa kuwatahadharisha wanachama wenzangu kuhusu tapeli ninayekumbana naye kupitia mtandao wa Jamii Forums. Nimetapeliwa na mtu aliyekuwa anajifanya mtoa huduma/muuzaji wa vitu used kutoka dubai. kwa kutumia jina la uaminifu na lugha ya kuvutia.
Tapeli huyu alinitaka nitume pesa kwa njia ya – Ya Airtel money kabla ya kupata bidhaa. Baada ya kutuma pesa kiasi cha (200,000), hakuweza kutimiza ahadi yake na amekuwa hakupatikani tena.
Jina au namba alizotumia ni:
- Jina: (Jaffari yusuph)
- Namba ya simu: (0697850060)
Kama kuna mtu mwingine ambaye amewahi kutapeliwa na mtu huyu au ana taarifa zaidi, tafadhali shiriki hapa ili tuchukue hatua pamoja.
Tuwe makini sana – tapeli mmoja anaweza kuharibu maisha ya watu wengi!