Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,978
Kama anakujua kwako ni dhahiri mnajuana vzr!!nikamuagiza apeleke kwa nyumba
Au labda naweza nikakuta nayeye ameficha hela...๐Hilo gunia Usifungue Mbele ya watoto,Huko mbele Unaweza kuta vifaa vya Guest.Ila tutashuhudia mengi mwaka Tunahumiana wenyewe kwa wenyewe wakati Aliyepandisha mafuta Yupo huko.
Tatizo ujanjajanja mwingi....saivi umekuwa mpole sanaHayaja kukuta tu mkuu wangu, ipo siku utalia pia
Binti ebu uwe umwenye heshima kwanza, mimi sijaja kutaguta like hapa na hata nilizo nazo natafuta pakuzigawa...๐คจโน๏ธHyo pcha inazunguka zunguka tu kweny mitandao...naona umeamua kuiwekea script kidogo kupata likes...ila cha ajabu hadi watu wanakupa pole.
Kimekukuta kitu kizitoHapana mkuu hapa janja sio...๐
Ila we jamaa wewe๐Na hii ndio hasara ya kuoa, maana haya yasinge nikuta..๐
Dhulmati ni shetani asiye na rangi na anabadili umbile kutokana na mazingira!Nilipotoka tu, nikavamia K-Vant kubwaaaaaaaa.
Kabla sijaimaliza, akapita muuza mkaa "simnajua gesi imepanda bei..!!"
Basi kwa mbwebwe kibwena nikamuagiza apeleke kwa nyumba na pesa nikamlipa kabisa kwa jinsi alivyojua kuujaza hadi kisunzu...[emoji12][emoji12]
Sijakaa muda waifu kapiga simu kusema asante baba watoto, asante mume wangu, asante kwa kujali na kadhalika zote mnazozijua wababa.
Sasa haya ndio yalonikuta, muuza mkaa ameniharibia upendo kabisa wa leo. Na sijui kama wiki hii nitapewa...[emoji55][emoji58]