Nimetapeliwa na konda wa daladala, nifanyeje?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habari za muda huu wana JamiiForums hope mpo poa na maandalizi ya Chrismass

Leo nimejifunza kitu nikiwa karume saa 3 ucku kuna basi lilikuja likawa linatangaza G/Mboto sh 1000 dah kwa wazee ambao hatupend fujo tukazama ndan kwanza basi lenyewe si la G/Mboto rangi ni za root nyingine

Konda akaanza kudai naul basi kuna watu kadhaa wakatoa ela kubwa kubwa eeh nami nilitoa 5000 sasa basi kaanza kurudisha chenji mm nilikuwa mwisho akaniruka nafika mwisho namwambia chenji yangu kagoma kasema kashanipa yaan ni vurugu tupu konda mwenywe ata uniform hajavaa yaan ni skendo juu ya skendo watu wamejazana kituon nikaona twende polisi wakagoma

Nilitaman ata nimkate ngum sema nilihofia maana nilikuwa na mizigo na pesa njkasema zisijena hz zikaibiwa nimekopi TZ ya gar nimeenda polis wakaniambia niende kesho asubuh ata sijui keaho niende au napoteza mda tu

NOTE : Ukimpa konda pesa kubwa mkomalie akupe chako au aandike kwenye ticket jamaa hawa maisha washayavulia nguo so kutapeli kuiba kwao kitu kidogo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom