Nimetapeliwa mwenzenu!

Hahaa ila umenifanya hapa nicheke kinoma...
Eti another one
"Another banger...baby ..
Nikuoneshe salio langu kama ela ya kutumia matumizi ya vocha ya hapa na pale?
Mhhhh, what are you looking for,it's just funny making,kama uko njema it's ok,project in forest are welcome if you need one
 
Mhhhh, what are you looking for,it's just funny making,kama uko njema it's ok,project in forest are welcome if you need one
Yule mwingine bwana salal ally ndo alipost...
Ushamix desa hapa.
Nina dogo anataka kumpeleka mwika so ndo nataka nipate abc za hapa na pale...
Coz naambiwa ad ni mil25 afu ajira ndo kama hivi yaani...
Ukimaliza unaanza kupambana na hali.sasa hizo abc nahitaji kutoka kwa yule member yule
 
Kwahy wee jamaa hukumuomba tigo?
Haki ya Mungu vile naapa,huo mchezo sichezagi mimi na kama nimewahi kumwomba huyo dada tgo lolote linipate,na kama sikumwomba naye apate ulemavu wa kudumu maishani mwake!
 
Haki ya Mungu vile naapa,huo mchezo sichezagi mimi na kama nimewahi kumwomba huyo dada tgo lolote linipate,na kama sikumwomba naye apate ulemavu wa kudumu maishani mwake!
Iyola99 apa naona mnatuchezea mchezo ,wew jamaa kila la kheri
 
Mweka au mwika
 
Aloomba jicho ni nani asa?
Usipende kukurupukia vitu usivovijua,
Siku ingine itakugarimu!
 
Huyo mtu anapatikana kirasihi sana. ..nenda mtandao anaotumie wape maelezo. .watamtafuta kwa namba anaotumia then waiatipata imei yake hapo hata abadili laini as long as anatumia cm hio hio utampata..utajua jina lake..alipo wasiliana nawe mara ya mwisho. ..in short chochote kinachomhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…