Bwii89
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 1,001
- 1,025
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna mwanamke humu kapost anataka mume, mimi nikampandia hewani, tukawekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana. Mwanamke akadai hana pesa nikamtigo pesa elfu 50 haraka na yakutolea.
Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu ujumbe! We mdada uliyenilaghai kwa maneno matamu kuwa unaniletea mbususu na umenidhulumu pesa yangu namwachia Mungu, atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana, ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na Serengeti Light baridiiiii!